Rais Ruto auunga mkono kampuni ya Adani kwa mara ya kwanza hadharani

  • | NTV Video
    253 views

    Rais William Ruto kwa mara ya kwanza katika umma ameonekana kutambua uwepo wa kampuni ya adani inayowekeza katika sekta mbalimbali humu nchini. Akizungumza katika uzinduzi wa kampuni ya kawi menengai 3 ruto amesema kwamba kampuni hiyo itajenga laini ya umeme pasi na kutumia mikopo yoyote kwa upande wa serikali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya