Rais Ruto awataka wakosoaji wa serikali kuiunga mkono

  • | Citizen TV
    2,279 views

    Rais William Ruto sasa anawataka wakosoaji wa serikali yake mpya iliyojumuisha upinzani kuiunga mkono.akiendelea kutetea hatua yake ya kuwajumuisha viongozi wa upinzani serikalini, Rais Ruto amesema ni wakati wa kila mmoja kuasi siasa za Mirengo na kulitumikia taifa. Alikuwa akizungumza eneo la Gusii, katika siku ya pili ya ziara yake kwenye eneo hilo