Sekta ya ujenzi Kilifi yalalamika

  • | KBC Video
    59 views

    Marufuku ya uchimbaji madini katika matimbo ya Jaribuni kwenye kaunti ya Kilifi iliyowekwa na waziri Hassan Joho majuma matatu yaliyopita sasa inatishia kulemaza sekta ya ujenzi katika eneo hilo. Kamishna wa kaunti ya Kilifi Joseph Biwott anasema miradi iliyoathiriwa zaidi ni pamoja na ujenzi wa barabara kuu ya Mombasa-Malindi, daraja la Mtwapa, miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu na ujenzi wa madarasa ya gredi ya tisa miongoni mwa miradi mingine.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive