Seneti kujadili kutimuliwa kwa gavana Mwangaza wa Meru

  • | KBC Video
    106 views

    Hoja ya kumbandua gavana wa Meru Kawira Mwangaza sasa itajadiliwa kesho kwenye kikao maalum cha bunge la Seneti. Bunge la Seneti ambalo kwa sasa liko likizoni litakutana ili kubuni kamati ya kuchunguza madai dhidi ya Mwangaza na kuwasilisha ripoti yake ama kuchunguza madai dhidi ya Mwangaza kwenye kikao kizima cha bunge hilo. Hii ni mara ya tatu kwa Mwangaza kufika mbele ya bunge la Seneti kujitetea kuhusiana na hoja ya kumbandua afisini tangu alipoanza hatamu yake miezi-24 iliyopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive