Serikali yahimiza wazazi na walimu kutoa ushauri kwa wanafunzi kabla ya vyuo

  • | NTV Video
    81 views

    Serikali imehimiza wazazi pamoja na walimu kuwapatia wanafunzi wote wanaokamilisha kidato cha 4 ushauri nasaha na mawaidha spesheli kabla ya kujiunga na vyuo vikuu na tasisi mbalimbali ili kupunguza visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwa wanafunzi nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya