Serikali yatoa muda wa msamaha kwa wenye silaha haramu

  • | Citizen TV
    196 views

    Serikali imetoa msamaha kwa wenyeji wanaomiliki silaha haramu kinyume na sheria katika kaunti ya Garissa wakitakiwa kurejesha silaha hizo kwa polisi ama kwenye ofisi za machifu kabla oparesheni ya kusaka silaha hizo kuanza.