Shirikisho la voliboli Nyeri limezindua mashindano ya voliboli ili kurejesha hadhi ya voliboli

  • | NTV Video
    56 views

    Shirikisho la voliboli katika kaunti ya Nyeri limezindua mashindano ya voliboli yaliyopewa jina la mega national volleyball tournament ili kurejesha hadhi ya zama ya voliboli katika kaunti hiyo. Mwenyekiti wa shirikisho la voliboli katika kaunti ya Nyeri amesema mpango huo unalenga kuibua vipaji kwa kuanzisha programu za kuwafikia wachezaji haswa katika taasisi za elimu. Michuano hiyo hadi sasa imezivutia timu 50 za wanaume na wanawake huku kukiwa na matumaini ya kuyavutia washiriki zaidi Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya