Shughuli za usafiri zatatizwa Kabarnet-Tinges baada ya Mto eldao kuvunja kingo zake

  • | Citizen TV
    1,603 views

    Mto eldao ulivunja kingo zake na kuelekeza maji kwenye barabara ya kabarnet kwelekea tenges baada ya mvua kubwa kunyesha maeneo ya marigat kaunti ya baringo