- 1,930 viewsDuration: 1:13Naibu kinara wa chama cha ODM Simba Arati sasa anasema Rais William Ruto atalazimika kupambania tikiti ya urais ya chama cha ODM pamoja na wagombea wengine na hatapewa tiketi ya moja kwa moja. Akizungumza katika mkutano wa wajumbe wa ODM wa Nairobi, Arati pia aliwataka viongozi wengine wakuu nchini kuungana na chama cha ODM na kuhakikisha chama hicho kinaibuka mshindi wa urais mwaka wa 2027.