UTAMBUZI WA MASHUJAA
Wanawake waliohudumu katika idara za usalama waenziwa
Muasisi wa shirika la Ushiriki Wema, Tessie Musalia, anapendekeza kubuniwa kwa mfumo utakaohakikisha wanawake wote waliotumikia vikosi vya ulinzi humu nchini wanatambuliwa. Tessie anasema baadhi ya maafisa waliostaafu, hasa wanawake, wanakabiliwa na ufukara kutokana na masharti ya ajira waliyopewa walipokuwa wakitumikia nchi, huku wengine wakisimamishwa kazi ghafla bila faida yoyote.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
 
#kbcchannel1 #news  #kbclive