Trump, Macron waahidi kulishughulikia suala la Ukraine kwa pamoja

  • | VOA Swahili
    57 views
    Trump, Macron waahidi kulishughulikia Suala la Ukraine kwa pamoja Rais wa Marekani Donald Trump alikutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Jumatatu katika Ofisi ya Oval huko White House mjini Washington, DC, ambapo wanatafuta suluhu ya mivutano kati ya Ulaya, Amerika Kaskazini na Uingereza kuhusu suala la Ukraine. Katika maadhimisho ya mwaka wa tatu wa uvamizi wa Russia, Trump alisema anatarajia Volodymyr Zelenskyy kuja wiki hii au ijayo, kusaini makubaliano ya kuipatia Washington ruhusa ya kuchukua madini ya Kyiv. (AFP). #trump #macron #ukraine #voa