Skip to main content
Skip to main content

Tume ya NSPC yazuiwa kushiriki shughuli ya usajili wa makurutu wa polisi

  • | KBC Video
    86 views
    Duration: 2:58
    Tume ya kitaifa ya huduma ya polisi imezuiwa kushiriki katika usajili wa maafisa wa polisi. Haya yanajiri kufuatia uamuzi wa Jaji Hellen Wasilwa, aliyesema kwamba zoezi shughuli hiyo iliyotangazwa na tume hiyo ni kinyume cha katiba, batili na haina nguvu ya kisheria. Na kama vile mwanahabari wetu Ruth Wamboi anavyotuarifu, Jaji Wasilwa pia ametoa wito kwa bunge kurekebisha sheria mbili zilizoibua utata, ili kuepuka mgongano wa majukumu ya Inspekta Jenerali . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive