Uamuzi wa hospitali za kibinafsi wazua tumbo joto

  • | Citizen TV
    915 views

    Siku moja baada ya hospitali za kibinafsi kutangaza kusimamisha huduma chini ya mfumo wa SHA kuanzia jumatatu wiki ijayo, hospitali za kidini pia zimeelezea changamoto zinazokumba mfumo huo. Askofu mkuu wa nyeri, anthony muheria, akisema serikali ina deni kubwa la hospitali za kidini kutoka kwa NHIF na SHA mbali na changamoto zingine za kiteknolojia