Ujenzi wa soko la Ngoliba wayumba

  • | KBC Video
    10 views

    Maafisa wa polisi wa kitengo cha GSU wamepelekwa katika soko la Ngoliba baada ya tofauti kuibuka baina ya gavana wa kaunti ya Kiambu Kimani Wamatangi na mbunge Alice Wambui kuhusiana na ujenzi wa soko hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News