Vijana walifika hotelini na kuvunja lango kuu

  • | Citizen TV
    6,869 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa katika hoteli moja mjini Mombasa baada ya vijana kuvunja lango la hoteli na kuingia ndani na kuzua rabsha