Vijana wamehamasishwa kuhusu hatari ya itikadi kali

  • | Citizen TV
    105 views

    Kutokana na Visa vya mashambulizi ya kigaidi ambavyo vimeshuhudiwa katika kaunti ya Lamu karibuni, ubalozi Wa Australia na wanaharakati wameanzisha hamasa ya siku tatu kwa wakazi dhidi ya kujihusisha na mafunzo ya itikadi kali