Viongozi na wazee wa Ilchamus wamkashifu Kamket

  • | Citizen TV
    1,320 views

    Viongozi,wasomi na wazee kutoka jamii ya Ilchamus katika kaunti ya Baringo wanaitaka idara ya ujasusi,Tume ya Uwiano na idara ya polisi kumchunguza mbunge wa Tiaty William Kamket ambaye wanadai kuwa alitoa semi kali za uchochezi wakati wa sherehe za mashujaa.