Viongozi wa dini ya kiislamu na mashirika ya wanafunzi wavunja kimya kuhusu hali ya taifa.

  • | NTV Video
    381 views

    Viongozi wa dini ya kiislamu kutoka mashirika mbalimbali ikiwemo SUPKEM, NAMLEF, Msikitin wa JAMIA, CIPK na mashirika ya wanafunzi wa vitengo vya uongozi nchini hii leo wamevunja kimya chao kuhusu hali ya taifa. Wakiongozwa na sheikh Abdullahi Abdul wameunga mkono vijana kwa hatua ambayo wameichukua kuleta mabadiliko ambayo wanasema ni ya kweli huku wakikashifu wabunge kwa kuenda kinyume na matarajio ya wananchi kuupitisha mswada wa fedha, vilevile walifanya mapendekezo kadhaa kwa Rais.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya