Viongozi wa kike wamtetea jaji mkuu Martha Koome

  • | KBC Video
    105 views

    Baadhi ya viongozi wa kike, wameonya dhidi ya njama ya kumwondoa jaji mkuu Martha Koome pamoja na majaji wengine wa mahakama ya upeo. Wakiongea jijini Nairobi, wanawake hao wakiongozwa na rais wa shirika la Echo Network Africa Dr. Jennifer Riria, walitaja pendekezo hilo kuwa lisilokuwa na msingi wowote, na kwamba ni tisho kwa utulivu wa nchi hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive