Viongozi wa Kilifi watakiwa kutilia maanani masomo

  • | Citizen TV
    45 views

    Wadau wa elimu kaunti ya Kilifi wanalalamikia tabia ya wanajamii kupuuza umuhimu wa elimu. Wanasema tabia hiyo inachangia kuzorota kwa viwango vya elimu kaunti hiyo. aidha wanasema kuwa wanafunzi wengi huko shule kwasababu ya ukosefu wa karo ilhali viongozi wanachangisha pesa nyingi kwenye matanga