Viongozi wa Rombo ranch wataka wanasiasa kutoingilia ugavi wa shamba

  • | Citizen TV
    283 views

    Viongozi wa ardhi la jamii ya rombo group ranch, kajiado kusini wamefanya mkutano na wanachama wao kwa sababu ya mvutano unajitokeza baada ya baadhi ya viongozi kutamka matamshi ya chuki.