Viongozi waipongeza serikali kwa kuondoa ukaguzi

  • | Citizen TV
    107 views

    Gavana wa Lamu Issa Timamy, pamoja na Mbunge wa Garsen, Ali Wario, wamepuuza madai kwamba kuondolewa kwa ukaguzi wa wanaosaka vitambulisho kaskazini mashariki ni njia ya kuongeza idadi ya wapiga kura