Wabunge 300 waetia saini hoja ya kumtimua naibu rais Rigathi Gachagua ofisini

  • | Citizen TV
    13,601 views

    Wabunge 300 Wametia Saini Hoja Ya Kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua Ofisini Kufikia Sasa. Wabunge Hao Wanamkashifu Gachagua Kwa Kueneza Siasa Za Ukabila Na Kimaeneo. Wakizungumza Katika Hafla Tofauti Tofauti Nchini, Viongozi Wengine Wakiwemo Katibu Mkuu Wa Uda Hassan Omar Na Msaidizi Wa Rais William Ruto Farouk Kibet Wamemtaka Gachagua Kuanza Kufunganya Virago.