Wafanyakazi 269 wa shirika la USAID kupoteza kazi

  • | Citizen TV
    331 views

    Wafanyikazi 269 wanaohudumu kaunti ya makueni chini ya shirika lisilo la kiserikali la USAID wakiwemo wale waliochini ya idara ya afya huenda wakapoteza kazi ifikiapo mwisho wa mwezi huu.