Wafanyakazi-5 wa KBC wastaafu

  • | KBC Video
    72 views

    Wafanyakazi wanapaswa kuyakubali mabadiliko katika maeneo yao ya kazi ili kudumisha utendakazi bora. Huu ulikuwa wito kutoka kwa wafanyakazi waliostaafu wa shirika la utangazaji la Kenya, KBC, ambao walieleza jinsi shirika hivi lilivyoweza kustahimili changamoto za mabadiliko katika tasnia ya utangazaji kutoka mifumo ya awali hadi ile ya dijitali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News