Wakaazi eneo hili walalamika kuwa hawakuhusishwa

  • | Citizen TV
    106 views

    Maelfu ya wakaazi kutoka kaunti ndogo ya magarini kaunti ya kilifi wameilaumu serikali kwa kutowahusisha Katika mpango wa kugawanya Mara mbili kaunti hiyo ndogo kwa lengo la kuleta huduma karibu na wananchi