Wakaazi wa Samburu waandamana kufuatia kuuawa kwa chifu mstaafu

  • | Citizen TV
    884 views

    Wakaazi wa eneo la Loborngare, Samburu magharibi wamefanya maandamano kulalamikia kuzidi kwa visa vya utovu wa usalama katika siku za punde. Wakaazi hawa wakishutumu mauaji ya punde zaidi ya chifu mstaafu. Na kama Bonface Barasa anavyoarifu, msafara wa viongozi wa kaunti umekuwa wa punde kuvamiwa mchana wa leo