Wakazi wa Maili Saba huko Laikipia Magharibi waandamana

  • | Citizen TV
    136 views

    Wakazi wa eneo la Maili Saba eneo bunge la Laikipia Magharibi wameghadhabishwa na tabia ya mwekezaji wakidai kuwa amefunga barabara muhimu ya kuingia katika mitaa yao.