Wakazi wa Nakuru wahimiza maridhiano kati ya Ruto na Gachagua

  • | KBC Video
    37 views

    Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Nakuru wametoa wito wa maridhiano kati ya rais na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ili kutuliza joto la kisiasa katika eneo la Mlima Kenya. Wakazi hao wakiongozwa na kasisi Harrison Kariuki walishutumu matamshi ya hivi majuzi kati ya washirika wa viongozi hao wawili wakisema yanatishia umoja wa eneo la Mlima Kenya. Akiongea huko Nakuru wakazi hao walikariri umuhimu wa Umoja wa Kitaifa na kuwahimiza viongozi kutoka mirengo yote ya kisiasa kuangazia masuala muhimu ya kimaendeleo kwa ajili ya ustawi wa kiuchumi na kijamii humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive