- 57 viewsDuration: 1:35Wakazi wa Wadi ya Keiyo katika Kaunti ya Trans Nzoia wameanzisha kampeni ya kuhifadhi mazingira kwa nia ya kurejesha mabwawa yaliyoharibika, kupitia upanzi wa miche ya miti asili kama hatua ya muda ya kulinda vyanzo vya maji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive