Wakenya wahimizwa kuungana

  • | KBC Video
    23 views

    Ziara ya rais William Ruto katika eneo la mlima Kenya iliingia siku ya tano leo, wabunge wa mirengo mbalimbali ya ya kisiasa wakielezeaa maoni yao kuhusu idadi ya watu wanaojitokeza kuhudhuria mikutano ya Rais katika eneo hilo. Kiranja wa walio wengi katika bunge la taifa Sylvanus Osoro aliwahimiza viongozi hao kudumisha umoja miongoni mwa wakenya wote

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News