Wakulima wa mpunga Bunyala, walalamika bei ya mchele imepungua

  • | Citizen TV
    169 views

    Wakulima wa mpunga katika eneo la bunyala kaunti ya busia wanalalamikia bei duni la zao hilo inayosababishwa na madalali katika biashara ya mchele. Kulingana nao, madalali hao hutoka katika taifa jirani la uganda, huku wakilazimika kuuza kilo moja ya mchele kwa bei ya hasara ya shilingi 35.