Wakulima washauriwa kupanda mimea inayostahimili ukame Migori

  • | Citizen TV
    41 views

    IDARA ya Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi katika Kaunti ya Migori imezindua mpango wa kilimo unaozingatia hali ya hewa ili kuwasaidia wakulima katika maeneo yenye ukame kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.