Wanahabari wakaguliwa mahakamani Milimani

  • | KBC Video
    48 views

    Switofahamu ilizuka katika Mahakama ya kushughulikia kesi za Ufisadi jijini Nairobi baada ya Wanahabari waliokuwa wamefika kufuatilia na kuripoti kuhusu shughuli za leo mahakamani kutupwa nje kwa kile kilichotajwa kuwa ukosefu wa utambulisho sahihi. Mahakama ililazimika kuahirisha vikao vyake kwa takriban saa mbili ili kusuluhisha mtafaruku huo kati ya maafisa wa Mahakama na wanahabari kabla ya vikao vya kesi kuanza tena. Ripota wetu wa masuala ya Mahakama Ruth Wamboi na maelezo zaidi kuhusu tukio hilo la mahakama ya Milimani

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive