- 856 viewsDuration: 3:13Wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo wamesimulia namna walivyoteswa na kudhulumiwa katika siku 38 walizozuiliwa nchini Uganda. Wawili hao wakielezea namna hofu ya kuwa huenda wangewachochea vijana kufanya maandamano kupinga serikali ya Uganda yalizima safari yao mjini Kampala.