Wanawake wafunzwa uhasibu na usimamizi wa biashara Kwale

  • | Citizen TV
    50 views

    Akina mama 50 kutoka kaunti ya Kwale wamefuzu baada ya kupokea mafunzo ya uhasibu na usimamizi wa kibiashra yanayolenga kuwapa mwongozo wa kuimarisha biashara zao. Mafunzo hayo yaliyotolewa kupitia mpango wa 'Empower Her' yalihusisha wafanyiabiashara wadogowadogo.