Wanawake wataka sheria ya kuwalinda kwenye kampeni

  • | Citizen TV
    116 views

    Wanaharakati wa maswala ya kijamii na uongozi katika kaunti ya Kwale wamelitaka bunge la seneti kupitisha sheria ya kuwalinda wanawake wanaowania nyadhfa za kisiasa nchini.