Washukiwa 5 wanafikishwa mahakamani kuhusiana na mauaji ya mwanaharakati wa Molo Richard Otieno

  • | Citizen TV
    397 views

    Washukiwa watano wa mauaji ya mwanaharakati wa Molo Richard Otieno wanafikishwa mahakamani kwa sasa mjini Nakuru. Washukiwa hawa wanafikishwa mbele ya mahakama kuu huku uchunguzi kuhusiana na mauaji ya mwanaharakati huyu aliyeuawa mwezi jana. Mauaji ya Otieno yalisababisha maandamano na ghasia mjini Molo huku wakaazi wakidai haki ya mauwaji yake.