Wasiwasi wazidi Isiolo kutokana na uhaba wa malisho na moto mkali

  • | NTV Video
    224 views

    Hali ya wasiwasi inazidi kutanda katika kaunti ndogo za Isiolo Kaskazini na Isiolo Kusini kutokana na uhaba wa malisho, huku zaidi ya asilimia 70 ya maeneo ya malisho yaliyotengwa yakiharibiwa na moto mkali wa Nyika.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya