Watu wawili zaidi wafariki kutokana na ugonjwa wa Kala Azar kaunti ya Wajir

  • | Citizen TV
    262 views

    Watu wawili zaidi wamefariki kutokana na ugonjwa wa Kala Azar kaunti ya Wajir, na kufikisha idadi ya waliofariki kufikia sasa kuwa 20