Watu wawili zaidi wakamatwa kuhusiana na tukio la uvamizi wa kanisa la Deliverance Kisii

  • | Citizen TV
    1,469 views

    Haya yakijiri, Maafisa wa kupambana na ugaidi kaunti ya Kisii wamewakamata watu wawili zaidi kuhusiana na tukio la uvamizi wa kanisa la Deliverance mwisho wa mwezi jana. Wawili hao walikamatwa katika eneo la Nubia na Mwamogesa kwa uhusiano na mshukiwa mkuu aliyekamatwa baada ya kuwadunga kisu watu kadhaa kanisani humo.