Wavuvi 20 bado hawajulikani waliko kufuatia shambulizi kijiji cha Todonyang, Turkana

  • | KBC Video
    908 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amethibitisha kuwa zaidi ya wavuvi 20 bado hawajulikani waliko kufuatia shambulizi la siku ya Jumamosi katika kijiji cha Todonyang, kaunti ya Turkana. Waziri Murkomen aliyezuru eneo hilo, alizihakikishia jamii za eneo hilo kwamba kundi linaloongozwa na kamishna wa eneo hilo limetwikwa jukumu la kuongoza mazungumzo na serikali ya Ethiopia kuhakikisha wavuvi waliotoweka wamerejea salama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News