- 52 viewsKukosekana kwa miundombinu thabiti na uwezeshaji ni baadhi ya changamoto zinazowakabili wanawake katika shughuli za uvuvi na kuwafanya kushindwa kushiriki katika uvuvi na kupiga hatua za kimaendeleo. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wavuvi wanawake Tanzania waelezea changamoto wanazopitia
- 5 Feb 2025 - Palestinian militant group Hamas lashed out Wednesday at President Donald Trump's shock proposal for the United States to take over the Gaza Strip and resettle its people in other countries, seemingly whether they want to leave or not.
- 5 Feb 2025 - Thirty-eight minutes into her last year interview on the Kenyan podcast Cleaning the Airwaves (CTA), Narc Kenya party leader Martha Karua bursts into laughter while sharing a childhood story.
- 5 Feb 2025 - Racehorse billionaire and Islamic spiritual leader the Aga Khan died on Tuesday aged 88, leaving millions of followers in mourning across the world.
- 5 Feb 2025 - Over the past weeks, many African countries have faced dire consequences due to the policies introduced by US President Donald Trump since his inauguration last month.
- 5 Feb 2025 - Former Nairobi Regional Commander Adamson Bungei has denied any involvement in the alleged police killings that occurred during the Gen Z protests on July 20, 2025.
- 5 Feb 2025 - Former Nairobi Regional Commander Adamson Bungei has denied any involvement in the alleged police killings that occurred during the Gen Z protests on July 20, 2025.
- 5 Feb 2025 - According to residents, the deceased, identified as Dennis Muriuki, had been stealing muguka and miraa in the region, causing distress among local farmers. While some had grown frustrated with the thefts, others were shocked by his brutal killing.
- 5 Feb 2025 - The Deputy Chief of Staff for Performance and Delivery Management in the Executive Office of the President, Eliud Owalo, has announced the government’s new move to enhance ministerial funding.
- 5 Feb 2025 - Football Kenya Federation (FKF) has confirmed the resignation of interim Chief Executive Officer Patrick Korir with immediate effect.
- 5 Feb 2025 - All USAID staff to be placed on leave globally starting Friday, February 7; agency to arrange return travel for personnel outside the US within 30 days.