Wazazi washauriwa kuwalinda wana wao wakati wa Likizo

  • | Citizen TV
    158 views

    Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu ameeleza umuhimu kwa wazazi kuimarisha malezi ya watoto wao hasa wanafunzi wa kike ili kuepuka mimba za mapema wakati huu wa likizo ya Aprili. Reuben Motochi anaarifu zaidi