Waziri Kindiki aibuka bora zaidi kumrithi Gachagua iwapo naibu rais atatimuliwa

  • | TV 47
    3,011 views

    Waziri wa usalama wa ndani Profesa Kithure Kindiki ameibuka wa kwanza katika viongozi wanaotazamiwa kumrithi naibu rais rigathi gachagua iwapo ataondolewa bungeni kupitia hoja ya kutokuwa na imani wiki ijayo. Haya yamejiri baada ya mikutano miwili wiki hii ambayo imewahusisha wandani wa Rais William Ruto. Waziri Kindiki anasemekana kufanyiwa mafunzo kuhusu wadhifa wa naibu rais licha ya migawanyiko serikalini kuhusu kuondolewa ka Gachagua.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __