Wenyeji kutoka Mlima Elgon wawasilisha malalamishi kwa mamlaka ya ujenzi wa barabara mashinani Kerra

  • | NTV Video
    8 views

    Wenyeji kutoka Mlima Elgon kaunti ya Bungoma wamewasilisha malalamishi yao kwa mamlaka ya ujenzi wa barabara mashinani Kerra , kutaka kutekelezwa kwa miradi ya ujenzi wa barabara eneo hilo. Kulingana na wakaazi hao uwepo wa barabara duni Mlima Elgon kumeathiri shughuli za usafiri huku biashara nyingi ikiwemo ukulima zikiathirika. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya