Wito kwa Wakenya kudumisha sheria washamiri katika sherehe za Eid-ul-Fitri

  • | KBC Video
    31 views

    Wito wa kuwataka Wa-Kenya kudumisha sheria na utaratibu ulitolewa katika maeneo mbali mbali nchini, huku Waislamu wakiadhimisha sherehe za Eid -Ul- Fitri. Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja ambaye aliungana na waislamu kwenye sherehe hizo katika mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi, alisema serikali inapania kuvipa magari vituo vya polisi vya Eastleigh ili kuimarisha usalama katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News