Wizara ya usalama yazindua kitengo cha utawala

  • | Citizen TV
    297 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen na Katibu wake Raymond Omollo wanazindua mikakati ya utoaji huduma bora na utendakazi kwa maafisa wa polisi wa kitengo cha utawala.