Zaidi ya wakazi elfu nne wapokea msaada wa chakula uliotolewa na mkewe rais Rachel Ruto

  • | Citizen TV
    989 views

    Zaidi ya wakazi elfu nne wamepokea msaada wa chakula uliotolewa na mkewe rais, Rachel Ruto, ili kuwasitiri kutokana na kiangazi kinachoendelea.