Zoezi la kuhesabu watu na makazi linaenedelea Uganda
Zoezi la kuhesabu watu na makazi yao limeanza huko nchini Uganda ikiwa kila mtu ndani ya mipaka ya taifa hilo atatakiwa kushiriki.
Serikali ya taifa hilo inatazamia kukamilisha hesabu hiyo katika muda wa siku kumi.
Miongoni mwa maswali ambayo watakaohojiwa ni kutakiwa kuelezea vyanzo vyake vya mapato, muundo na idadi ya watu katika familia yake yaani wake na watoto.
Mwandishi wa BBC Swaibu Ibrahim anaangazia umuhimu wa zoezi hili na kukufahamisha mambo makuu unayostahili kujua kuhusu zoezi hilo.
#bbcswahili #uganda #sensational
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
22 Nov 2024
- The Ministry has sought to prevent any impending crisis that might be caused by use of the two drugs.
22 Nov 2024
- The government on Friday set the record straight regarding Adani Group's involvement in SHA.
22 Nov 2024
- The Energy CS has issued an ultimatum to the encroachers citing the risk posed to the operations of the national oil corporation
23 Nov 2024
- Editors, UN partner to counter spread of misleading information
23 Nov 2024
- Lawyer battles with client over Sh17.5m from property sale
23 Nov 2024
- Adani fallout is a lesson on accountability and transparency fight
23 Nov 2024
- JKUAT to refund insurer Sh296m paid as tax for the sale of building
23 Nov 2024
- Treasury goes for UAE loan as IMF cautions of debt situation
23 Nov 2024
- Traders claim closure of liquor stores, bars near schools punitive
23 Nov 2024
- DusitD2 attack and foiled 911-style terror raid with al-Shabaab
23 Nov 2024
- Ruto aims at independent institutions for graft war delays
23 Nov 2024
- International Men's Day: From dawn-breaking fathers to sunset mentors: Celebrating the quiet warriors
23 Nov 2024
- Pressure by United States authorities forced the Presidents hand after leasing out JKIA to the Indian firm in the wake of geopolitical upheavals was deemed risky.